Sauti Sol

Текст песни Lazizi

Lazizi видео клип

Sauti Sol
Обзор
Sauti Sol - Mwanzo альбом
АЛЬБОМ
Голоса:
0
Неверный текст?

Sauti Sol - Текст песни Lazizi

Verse 1:
Lazizi wangu we
Zawadi nono kutoka mbinguni
Nakuwaza my baby ( Nakuwaza my baby)
Nikikuwaza usiku silali

Chorus:
Nikikuona na wengine nashikwa na wivu
Naomba unipe number yako nikuvutie wire
Nikupeleke Java
Tunywe kahawa
Tukizubaa dubaa dubaa

Verse 2:
Mukhali wanje we
Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye
Ndakhuyanza my baby (Ndakhuyanza my baby)
Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye
Sauti Sol - Lazizi - http://ru.motolyrics.com/sauti-sol/lazizi-lyrics.html
Chorus

Bridge:
Zunguka zunguzukane
Nikitafuta kama wewe
Mi nafeel so nice
Unanipa mi amani
Mbele Baby
Sioni njia bila wewe
wewe...eeeh Lazizi

Chorus

Mazoe manana (Mazoe manana ah)
Kadonangaeuta na lola, Na
Kanisakayo sheri nanga
Soki yo tena nzanga kapongi (Mpenzi)

Chorus

Оставить комментарий

Что вы думаете о песне "Lazizi"? Напишите ваш комментарий.

Тексты песен альбома "Mwanzo"

Рекомендуемые песни