Sauti Sol

Текст песни Asante sana baba

Asante sana baba видео клип

Sauti Sol
Обзор
Sauti Sol - Mwanzo альбом
АЛЬБОМ
Голоса:
0
Неверный текст?

Sauti Sol - Текст песни Asante sana baba

Asante sana baba yangu
Umenipa mafunzo ya ajabu
Kunifunza kweli ni taabu
Nafanya kazi usiaibike X2

Sintokusahau maishani baba yangu
Umenielimisha, rekebisha kanipa mawaidha
Baisikeli kanipandisha
Nguo za kifahari kanivalisha
Nayo majuto ni mjukuu
Tega sikio usiseme I wish I knew

Asante sana baba yangu
Umenipa mafunzo ya ajabu
Kunifunza kweli ni taabu
Nafanya kazi usiaibike X2

Huuuuuuuu baba heiiii

Desturi na mila [umenifundisha]
Kulinda familia [aaaaahhhhhh]
Kuheshimu bibilia [bibilia kabisa]
Kumtunza malkia [maaaaaama]
Mtu mwenye heshima [na kila hekima]
Mfano mwema [aaaaaaahhhh]
Kwa kupanda na kulima [umenishughulikia]
Mfano mwema, [babaaaaaaaa]

Asante sana baba yangu
Umenipa mafunzo ya ajabu
Kunifunza kweli ni taabu Sauti Sol - Asante sana baba - http://ru.motolyrics.com/sauti-sol/asante-sana-baba-lyrics.html
Nafanya kazi usiaibike
Baba baba baba baba [yangu]
Asante sana baba yangu [ni wewe]
Umenipa mafunzo ya ajabu [eeeeeehhh]
Kunifunza kweli ni taabu [ni wewe baba]
Nafanya kazi usiaibike

Aaaaaaaaaaaaaaaaa X3

Uuuuuuuuuuuuuuu X2

Asante sana baba yangu
Umenipa mafunzo ya ajabu
Kunifunza kweli ni taabu
Nafanya kazi usiaibike X2
Aaaa asante
Daddy ooooh
Dadddy ooododoooe
Wewe ni baba [Daddy ooooh]
Wewe ni baba [Ooooooh]
Wewe ni baba yangu
Wewe ni baba
Wewe ni baba yangu
Wewe ni baba
Wewe ni baba [Weweeeee weweeeee]
Wewe ni baba yangu
Wewe uweiyeiye
Wewe ni baba
Wewe weweeee
Wewe ni daddy daddy daddy daddy daddy daddy
Wewe ni baba

Оставить комментарий

Что вы думаете о песне "Asante sana baba"? Напишите ваш комментарий.

Тексты песен альбома "Mwanzo"

Рекомендуемые песни