- Голоса:
Malika - Текст песни Nataka Dolla
Nasahau ziletazo, ziletazo, ziletazo, kusihi moyo wangu
Nasahau ziletazo, ziletazo, ziletazo, kusihi moyo wangu
Wataraji maelezo, niseme ridhaa yangu
Wataraji maelezo, niseme ridhaa yangu
Wataka kunipa tuzo, kupoza hasira zangu
Wataka kunipa tuzo, kupoza hasira zangu
Kupoza hasira zangu
Chorus:
Nataka Dolla, Nataka Paundi, Naitaka Dinar
Nataka dushman, amadhara amar am yal uman
Waniomba kuridhika, kuridhika, kuridhika, iliniwe furahani
Waniomba kuridhika, kuridhika, kuridhika, iliniwe furahani
Nipate funasihika, nakusihi iwathekani
Nipate funasihika, nakusihi iwathekani
Niseme ninachotaka, kunipa hutonikhini
Niseme ninachotaka, kunipa hutonikhini
Kunipa hutonikhini
(Chorus)
Kwa ulicho nitendea, nitendea, nitendea cha mamu dhiko kitendo
Kwa ulicho nitendea, nitendea, nitendea cha mamu dhiko kitendo
Wataka nisafi nia moyoni ishe mivundo
Wataka nisafi nia moyoni ishe mivundoMalika - Nataka Dolla - http://ru.motolyrics.com/malika/nataka-dolla-lyrics.html
Ridhaa kuniletea na saha ya langu pendo
Ridhaa kuniletea na saha ya langu pendo
Na saha ya langu pendo
(Chorus)
Nitaguwe nipendacho, nipendacho, nipendacho tatuzo ilo jamini
Nitaguwe nipendacho, nipendacho, nipendacho tatuzo ilo jamini
Niseme nikitakacho, kunipa umekubali
Niseme nikitakacho, kunipa umekubali
Sina zaidi ya hicho iwapo wanipa kweli
Sina zaidi ya hicho iwapo wanipa kweli
Iwapo wanipa kweli
(Chorus)
Kwa hayo yaloniudhi, yaloniudhi, yaloniudhi twaomba ninasihike
Kwa hayo yaloniudhi, yaloniudhi, yaloniudhi twaomba ninasihike
Ni hicho cha kuniridhi, na fusi ifurahike
Ni hicho cha kuniridhi, na fusi ifurahike
Moyo wangu uwe radhi, hasira zimalizike
Moyo wangu uwe radhi, hasira zimalizike
Hasira zimalizike
(Chorus)