- Голоса:
Malika - Текст песни Wape Wape
Mufanyao mufanyeni hayanitii shughuli
Musichoke midomoni muyasemo sijali
Mufanyao mufanyeni hayanitii shughuli
Musichoke midomoni muyasemo sijali
Nikonayo mikononi daima tuko wawili
Jamaa... Wape wape vidonge vyao
Wakimeza wakitema nishauriyao
Mtaudhika nyoyoni kheri muwenasimbali
Mtuyatakao wendani hayotakuwa asili
Mtaudhika nyoyoni kheri muwenasimbali
Mtuyatakao wendani hayotakuwa asili
Tupamoja maishaniTumeshikana kikweli
Jamaa... Wape wape vidonge vyao
Wakimeza wakitema nishauriyao
Jamani wivu mwaona mi silali pekee yangu
Mumezidi kusonona mumuudhika wenzangu
Raha ninazoziona anipa mpezi wangu
Jamaa... Wape wape vidonge vyao
Wakimeza wakitema nishauriyao
Hata mkafanya nini nimuhali kuthana
Usiingie mbioni hatushiki fitina
Hata mkafanya nini nimuhali kuthana
Usiingie mbioni hatushiki fitina
Tupamoja maishani daima tunapendanaMalika - Wape Wape - http://ru.motolyrics.com/malika/wape-wape-lyrics.html
Jamaa... Wape wape vidonge vyao
Wakimeza wakitema nishauriyao
Mtachoka kututhimba kutupa hatuwezi
Mkazishe zenu kamba haiwi kwetu ni kazi
Mtachoka kututhimba kutupa hatuwezi
Mkazishe zenu kamba haiwi kwetu ni kazi
Mimi ni mwana wa mjomba yeye ni mwana wa shangazi
Jamaa... Wape wape vidonge vyao
Wakimeza wakitema nishauriyao
Mufanyao mufanyeni hayanitii shughuli
Musichoke midomoni muyasemo sijali
Mufanyao mufanyeni hayanitii shughuli
Musichoke midomoni muyasemo sijali
Nikonayo mikononi daima tuko wawili
Jamaa... Wape wape vidonge vyao
Wakimeza wakitema nishauriyao
Mtachoka kututhimba kutupa hatuwezi
Mkazishe zenu kamba haiwi kwetu ni kazi
Mtachoka kututhimba kutupa hatuwezi
Mkazishe zenu kamba haiwi kwetu ni kazi
Mimi ni mwana wa mjomba yeye ni mwana wa shangazi
Jamaa... Wape wape vidonge vyao
Wakimeza wakitema nishauriyao