National Anthem

Текст песни Tanzania Native Anthem Text

Tanzania Native Anthem Text видео клип

National Anthem
Обзор
Голоса:
0
Смотри также:
Неверный текст?

National Anthem - Текст песни Tanzania Native Anthem Text

1.
Mungu ibariki Africa
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na
Amani Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake.
Chorus:
Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika.National Anthem - Tanzania Native Anthem Text - http://ru.motolyrics.com/national-anthem/tanzania-native-anthem-text-lyrics.html
2.
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
Chorus:
Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania.
Sent by Carlos André Pereira da Silva Branco

Оставить комментарий

Что вы думаете о песне "Tanzania Native Anthem Text"? Напишите ваш комментарий.

Рекомендуемые песни