Обзор
- Голоса:
- Смотри также:
Подпишись на RSS-ленту исполнителя National Anthem чтобы получать новые тексты песен и последние новости.
National Anthem - Текст песни Kenya Native Anthem Text
KiSwahili
(verse:1)
Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na udugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.
(verse:2)
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvuNational Anthem - Kenya Native Anthem Text - http://ru.motolyrics.com/national-anthem/kenya-native-anthem-text-lyrics.html
Nchi yetu ya Kenya
Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda
(verse:3)
Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani
Sent by Carlos André Pereira da Silva Branco