Mad Ice

Текст песни Nionyeshe Njia

Nionyeshe Njia видео клип

Mad Ice
Обзор
Голоса:
0
Неверный текст?

Mad Ice - Текст песни Nionyeshe Njia

Nionyeshe njia

Usiniache nalia

Wee mama wewe

Wee dada wewe

Nionyeshe njia

Usiniache nalia

Ukiniacha ntaishi vipi!

Wee dada wewe x2

Nionyeshe njia

Usiniache nalia

Tegemeo langu ni wewe

Wee dada wewe

Aah wewe dada wewe

Aah aah oohMad Ice - Nionyeshe Njia - http://ru.motolyrics.com/mad-ice/nionyeshe-njia-lyrics.html

Kama kupenda nimependa

Natena nimekuzoea

Ukiniacha ntaishi vipi!

Wee dada wewe x2

Kama kupenda nimependa

Natena nimekuzoea

Tafadhali nionee huruma

Oooh oooh oooh oooh

Nionyeshe njia

Usiniache nalia

Wee dada wewe

Aah wewe mama wewe

Oooh oooh oooh oooh

Оставить комментарий

Что вы думаете о песне "Nionyeshe Njia"? Напишите ваш комментарий.

Рекомендуемые песни