Kidumu

Текст песни Kidumu

Kidumu видео клип

No photo
Обзор
Голоса:
0
Неверный текст?

Kidumu - Текст песни Kidumu

Verse 1
Kama ni mapenzi
ya kuniudhi kila saa
ya kunifanya mi kulia
na kama huridhiki
na mbona hujasema
ili niweze rekebisha
ilifaa ni mambo shwari
nikiamini u kwangu
na kukusifu kwa wazazi
hujali tena hisia zangu
sijui tunapokwenda
lakini najua tulipotoka kutoka sitoki nimetekwa nyara
kukuwacha siwezi kibarua ngumu
nashindwa ni nini ntafanya uridhike
nimetekwa ndani
mtandao wa mapenzi
basi nakuomba
uniteke tu bila mateso Chorus
tazama, nimezama
ndani ya bahari
la penzi lako
siwezi
kusonga mbele
kurudi nyuma
sijielewi
haya mapenzi ya fujo hayafai
kama wanipenda
jaribu kunipa raha Verse 2
mi nashangaa
watu wakisema
eti tunapendana
japo tunazozana
ni vizuri mami
kumba kuwa na siri
lakini jaribu
tusuluhishe
bila hivyo
itakuwa mteso
wa kuigiza
kwenye mambo bandia
mimi sitakiKidumu - Kidumu - http://ru.motolyrics.com/kidumu/kidumu-lyrics.html
mambo ya kujifanya
ati tunapendana
tena tunatesana nimejaribu sana kujitoa ndani
kila nikipanga napangua mwenyewe
natamani sana ungeelewa hivyo
mimi mateka
mimi pumbavu
wa penzi lako
nieleze ni lini ntakuwa huru Chorus
tazama, nimezama
ndani ya bahari
la penzi lako
siwezi
kusonga mbele
kurudi nyuma
sijielewi
haya mapenzi ya fujo hayafai
kama wanipenda
jaribu kunipa raha Verse 3
jaribu baby
mambo
ya kunifanya kumbafu haifai
mambo yo yo yo yo yo
haifai
jaribu baby
tusuluhishe nimejaribu sana kujitoa ndani
kila nikipanga napangua mwenyewe
natamani sana ungeelewa hivyo
mimi mateka
mahabusu
wa penzi lako
nieleze ni lini ntakuwa huru Chorus
tazama, nimezama
ndani ya bahari
la penzi lako
siwezi
kusonga mbele
kurudi nyuma
sijielewi
haya mapenzi ya fujo hayafai
kama unanipenda
jaribu kunipa raha Article provided by Submitter's comments:  please translate

Оставить комментарий

Что вы думаете о песне "Kidumu"? Напишите ваш комментарий.

Рекомендуемые песни