Eunia Simbagoye

Текст песни Bwana Yesu Ni Warehema

Bwana Yesu Ni Warehema видео клип

No photo
Обзор
Eunia Simbagoye - Jesus Come альбом
АЛЬБОМ
Голоса:
0
Неверный текст?

Eunia Simbagoye - Текст песни Bwana Yesu Ni Warehema

Bwana Yesu ni warehema

Bwana Yesu ni waupendo

Bwana Yesu muweza yote

Bwana Yesu ni wahuruma (4)

Bwana Yesu kwanz’arituumba

Hakuna kitu aricho tunyima

Rakini sisi tukamtendea mabaya

Bwana yesu ni wahuruma

Bwana Yesu ni warehema

Bwana Yesu ni waupendo

Bwana Yesu muweza yote

Bwana Yesu ni wahuruma

Ndugu yangu ninakushauri

Umpe Yesu maisha yako

Ayataware akuweke huru

Maana yeye ni muweza yote

Bwana Yesu ni warehema

Bwana Yesu ni waupendo
Bwana Yesu muweza yote

Bwana Yesu ni wahuruma (2)

Yeyeyeye
Eunia Simbagoye - Bwana Yesu Ni Warehema - http://ru.motolyrics.com/eunia-simbagoye/bwana-yesu-ni-warehema-lyrics.html
Mungu wamiujiza

Hakuna kama wewe

Yesu w’urukundo

Ntawuhwanye nawe

Yesu w’Imbabazi

Ntawuhwanye nawe

Tukienda Australia

Hakuna kama wewe

Tukienda America

Hakuna kama wewe

Africa nzima

Hakuna kama wewe

Tunakwabudu wewe

Hakuna kama wewe

Tunakwinuwa wewe

Hakuna kama wewe

Hakuna kama wewe

Hakuna kama wewe

Hakuna kama wewe

Hakuna kama wewe

yeyeyeye

Оставить комментарий

Что вы думаете о песне "Bwana Yesu Ni Warehema"? Напишите ваш комментарий.

Тексты песен альбома "Jesus Come"

Рекомендуемые песни