- Голоса:
- Смотри также:
Eatmewhileimhot - Текст песни Leo Ni Leo
E-sir lyrics to Leo ni leo
Chorus
Leo leo leo leo
leo ni leo asemaye kesho ni muongo
manzi nipe nipe mkono tembea nani cheza mani
leo warudi nyumbani bali kiuno wacha nikupe mfano
Ni ijumaa saa mbili imefika
weekendi imeingia lazima nitashangilia
tomo ukifika nyumbani pigia simu Rodha na Rukia
tapigia Monalisa usisahau tena pia
kuja na pesa za kutosha kabla hauja nipitia
jua pirate wapenda mangiri si mamia
kiswahili na wakilisha
mamanzi not forgetting karioke club atoti from the front to the rear
bringing down the house no matter how strong the pillar kwa sababu
Chorus
Natoka ndani ya nyumba nikimeremeta kama nyota unawezakuwa kipofu usiniangalie mbota
kutoka juu mpaka chini nimevaa hil figure
marashi ya polo
kwa hivyo vizuri nanukia aaah!
gari ni 504
Tom ana nitoto tofungua dirisha kuna joto to
mpaka wapi bro
baada ya kengeles tutamalizia canivore
bouncer amekuja kuparty fungua mlango jo
leo ni leo
asemae kesho ni muongoEatmewhileimhot - Leo Ni Leo - http://ru.motolyrics.com/eatmewhileimhot/leo-ni-leo-lyrics.html
acha kuongea mob
nipe chupa mbili za tembo
nionyeshe upendo oyah..aah!
leo leo leo asemaye kesho ni muongo
excuse me mbona wataka kutuua na mazishi plan
kuja waiter twenty tatu sasa mbuka
na kama kawaida mbili mbili sambuka
Dame mwenye kutembea utafikiri ana viuno viwili aah!
jina langu ni E-sir
mimi wananiita majina lako nimelisikia
mahali wa sound very familiar
ni lazima umenisikia kwa radio
kiss capital nation na pia metro
unaweza kwa mafuta ukishika kama petro
mzee wako akiuumiza E-sir ndoi dettol
leo ni leo kwa hivyo ngoje kesho kesho
leo leo leo asemaye kesho ni muongo x2
kama unaonatrack imekushika
ningependa ukaribie spika
ongeza volume
kama uko ndani ya club
uwe mamba carni........au club yoyote
mwambie DJ akupe scarch mbili
nakama yuwakuliza kwanini
mwambie hivi
chorus